Umoja wa Kiislamu wa Elimu, Uchumi na Maendeleo

Watch Video

Tunafanya miradi zaidi ya 0 Kwa ajili ya kuendeleza na kuimarisha, Umoja wa Kiislamu katika Elimu, Uchumi na Maendeleo

Changia moja kwa moja

Tanguliza kwa ajili ya Akhera yako, na bajeti yetu moja kwa moja kwa simu na kadi zote

Changia sasa

Kuhusu UKUEM

UKUEM ni taasisi isiyo ya kiserikali, inayojihusisha na masuala ya elimu, uchumi na maendeleo ndani ya Zanzibar.

UKUEM inaendesha shughuli zake chini ya Kanuni zilizopo katika toleo la kanuni la mwaka 1430H, sawa na mwaka 2009.

Soma Utangulizi wa M/Kiti

Idara za UKUEM

Idara ya Elimu na Dawah

Kusimamia utoaji wa Elimu ya Dini na uenezi wa falsafa ya Uislamu kwa mujibu wa Qur-an na Sunnah. Soma zaidi

Idara ya Wanafunzi

Kusimamia masuala ya wanafunzi wa ngazi ya msingi mpaka ya juu, ikiwemo na mikopo isiyo na riba

Idara ya Waliorejea

Kusimamia ukuaji wa kijamii na kiimani kwa wale waliorejea katika dini ya haki

Idara ya Habari, Utafiti na Maktaba

Kusimamia utoaji wa Habari, nakala za utafiti na upatikanaji wa taarifa kwa jamii kupitia Maktaba

Idara ya Uchumi

Kusimamia ukuaji wa kiuchumi katika ngazi zote za kijamii, katika vijiji

Idara ya Huduma na Ustawi

To engage in any Activities, Projects or Business falling under our Objectives.

Idara ya Uhandisi na Ufundi

Kubuni masuala ya teknolojia na ufundi, kwa ajili ya manufaa ya jamii

Miradi na Matukio

a number of land plots for the purpose of investing in Islamic Developments Projects especially Islamic Historical Heritage Centers, Islamic Public Libraries, Health Centers, Schools, Vocation Training Colleges, and Orphanages, with side projects for agriculture, livestock and small scale production units. Here is some of our compliant documents and our on going and upcoming projects.